· Oktoba, 2020

Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Oktoba, 2020

Muungano wa Afrika yageukia teknolojia wa uangalizi wa kibiolojia kukabiliana na COVID-19

PanaBIOS,teknolojia ya ufuatiliaji binadamu unao ungwa mkono na Umoja wa Afrika, unaweza fuatilia usambaa wa COVID-19 na kukutanisha vituo vya vipimo barani.