Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Januari, 2014
Shindano la Kuchochea Uanzishwaji wa Biashara Mpaya Nchini Madagaska
Harinjaka, mwanzilishi wa mradi wa Habaka na mwanablogu anayeishi Madagaska, ameanzisha Shindano la biashara mpya Antananarivo 2014 [fr] lenye lengo la kuchagua na kuunga mkono wazo la biashara nchini Madagaska....
Uvumbuzi: Kompyuta Inayotumia Nishati ya Jua Nchini Mali
Kama sehemu ya mfululizo wetu juu ya teknolojia na ugunduzi unaofanyika Afrika, hivi karibuni tulionyesha Mashine ya Kuchapishia picha zenye umbo halisi yaani 3D iliyotengenezwa kutokana na taka pepe nchini...