Mosi Simba · Novemba, 2012

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mosi Simba kutoka Novemba, 2012

Watoto wa Mitaani Bangladesh Wakabiliwa na Unyanyasaji

  13 Novemba 2012

Jumla ya watoto wa mitaani nchini Bangladeshi wanakadiriwa kufikia 400,000. Karibu nusu ya idadi hiyo wanaishi katika Jiji la Dhaka. Asilimia kubwa ya watoto hao ni wasichana. Wasichana hao wa mitaani huishi katika mazingira yenye hatari nyingi hasa unyanyasaji na dhuluma nyingine.