· Novemba, 2009

Habari kuhusu Palestina kutoka Novemba, 2009

Palestina: Mtaa wa Twita

  15 Novemba 2009

Eman katika AquaCool anatoa maoni kuhusu mtaa wa kwanza kupata jina linalotokana na huduma ya Twita, katika kambi ya wakambizi huko ukingo wa Magharibi.