Habari kuhusu Palestina kutoka Oktoba, 2014
Katika Picha: Gaza Yaadhimisha Eid Al-Adha
Ikiwa na zaidi ya Wapalestina 2,000 waliojeruhiwa katika mashambulizi ya hivi karibuni yaliyofanywa na Isralei katika Ukanda wa Gaza, raia bado wanaona leo hii kuna kila sababu ya kusherehekea sikukuu ya Kiislam ya Eid Al-Adha.