Habari kuhusu Palestina kutoka Februari, 2015
Msichana Achora Ramani ya Palestina kwa Kutumia Risasi za Israeli Alizokusanya Karibu na Nyumbani Kwao
Picha hii ya msichana wa ki-Palestina inazunguka kwenye mitandao ya kijamii. Taarifa zinasema msichana huyu alikusanya maganda ya risasi karibu na nyumbani kwao, akayatumia kuchorea ramani ya Palestina.