· Oktoba, 2009

Habari kuhusu Palestina kutoka Oktoba, 2009

Palestina: IDF Yachoma Moto Magari Ya Wapalestina

  28 Oktoba 2009

Kwenye Do Unto Others, Samuel Nichols anaandika kuwa doria ya jeshi la Israel imeanza kuchoma moto magari ambayo yanakamatwa yakijaribu kuvuka mpaka kutoka Ukanda wa Magharibikuingia Israel. Ametundika video hapa.