· Disemba, 2009

Habari kuhusu Palestina kutoka Disemba, 2009

Palestina/Gaza: Matayarisho ya Maandamano ya Uhuru Gaza

  28 Disemba 2009

Ni kama wiki moja hivi mpaka Maandamano ya Uhuru Gaza yatakapoanza. Lengo lake ni kuonyesha mshikamano na Wapalestina na kuongeza ufahamu kuhusu vikwazo vinavyoizingira Gaza. Katharine Ganly anatazama baadhi ya matukio yaliyotokea katika maandalizi ya maandamano hayo.