Habari kuhusu Majanga kutoka Mei, 2014
Mazungumzo ya GV: Ukoaji wa Mafuriko Uliowezeshwa na Watu Nchini Serbia
Juma hili tunazungumza na marafiki waishio Serbia wanajihusisha na jitihada za ukoaji. Je, ni hatua zipi zinazochukuliwa na wananchi na serikali? Na kwa nini mitandao...
Baada ya Miezi Sita, Waathirika wa Kimbunga Haiyan Waendelea Kudai Msaada na Haki
Miezi sita baada ya kimbunga kikubwa kuharibu mamiliaoni ya makazi katika eneo la katikati ya Ufilipino, wahanga wanaendelea kuomba misaada na kutendelewa haki. Kuna madai...
Mazungumzo ya GV: Je, Utamaduni Ulisababisha Washindwe Kuokolewa Kwenye Ajali ya Kivuko?
Mitazamo potofu kuhusu Wakorea Kusini inaendelea kusambaa kwenye habari zinazotangazwa kuhusu kivuko kilichozama. Je, wahanga hao walikuwa na utii uliopindukia kiasi cha kushindwa kuokolewa?