Colombia: Kuanguka kwa Mgodi Kwasababisha Vifo na Uharibifu

Watu wasiopungua watatu walikufa na kati ya watu 25 na 30 wamenaswa baada ya kuanguka kwa mgodi ulikuwa unaendeshwa kinyume cha sheria katika idara ya Cauca, kusini magharibi mwa Colombia, kama ilivyoripotiwa [es] na vyombo vya habari mnamo Alhamisi, Mei 1.

HSBNoticias aliarifu kwenye mtandao wa Twita:

[PICHA] juhudi za uokoaji kuwatafuta wachimbaji 25 hadi 30 walionaswa katika mgodi katika idara ya Cauca.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.