Habari kuhusu Majanga kutoka Oktoba, 2013
Baa la Njaa Nchini Haiti
Kwa nini – wakati nchi imepokea misaada ya chakula yenye thamani ya si chini ya dola za kimarekani bilioni moja wakati wa majanga ya matetemeko ya ardhi ya mwaka 1995...
Kuwasaidia Waathirika wa Tetemeko la Balochistan
Zaidi ya watu 300,000 wameathirika kufuatia tetemeko la hivi karibuni katika wilaya sita za Jimbo la Balochistan nchini Pakistan. Kashif Aziz wa mtandao wa Chowrangi anatoa habari za namna ya...
Katika Jamhuri ya Afrika, ”Bado Tuna Matumaini ya Kuishi Pamoja kwa Amani”
Kama mapigano baina ya waasi wa Sékéla na jeshi la taifa la Jamhuri ya Afrika ya Kati vinaendelea, mvutano katika mji wa Bossangoa. Wenyeji wanahofia kwamba migogoro inaweza kumwagika katika mapigano ya...