Habari kuhusu Majanga kutoka Novemba, 2013
VIDEO: “Wao Hufanya kazi na kufa”, Ugonjwa Usioeleweka Yawaua Wafanyakazi wa Miwa wa Amerika ya Kati
Wafanyakazi ambao hukata miwa na mazao mengine katika tambarare ya pwani ya Amerika ya Kati na wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu: Kutoka Panama hadi kusini mwa Mexico, wafanyakazi wamashikwa na...
Waathirika wa Kimbunga Nchini Ufilipino Wauliza: ‘Iko Wapi Serikali Yetu?’
Misaada inamiminika kutoka duniani kote lakini bado wahanga wa kimbunga wanalalamika kuwa hawajapokea msaada wowote kutoka serikalini
Global Voices Yasaidia Wahanga wa Haiyan Nchini Ufilipino
Kimbunga kijulikanacho kama Haiyan hadi sasa kimeshaua maelfu ya watu nchini Ufilipino. Wiki hii tunaongea na waandishi wetu wlioko nchini Ufilipino pamoja na mfanyakazi anayehusika na misaada kujua ni kwa namna gani tunaweza kutoa msaada wetu.
Wahamiaji 87 Wafariki kwa Kukosa Maji Kaskazini mwa Niger
Mnamo tarehe 30 0ctoba, watu 87 waliokuwa wakijaribu kuifikia bahari ya Mediterania walifariki mara baada ya madereva waliokuwa wakiendesha magari waliyoyatumia kusafiria kuwatelekeza wahamiaji hao katika Jangwa la Sahara. Wahamiaji...
PICHA: Mafuriko Makubwa Katika Mji Mkuu wa Ufilipino
Dhoruba kali ya ki-Tropiki iliikumba Filipino na kusababisha mafuriko makubwa jijini Manila na katika majimbo ya karibu. Zaidi ya watu nusu milioni wameathirika na dhoruba hiyo