Habari kuhusu Majanga kutoka Aprili, 2014
30 Aprili 2014
Ni “Udhaifu” wa Serikali, Yasema Ripoti ya Ajali ya Kivuko cha Korea Kusini
Zimetimu siku 14 tangu kivuko cha Sewol kizame na watu 205 wamethibitika kupoteza maisha. Wanasiasa wanatumia tukio hilo na habari zisizosahihi za vyombo vya habari...
29 Aprili 2014
Kupotea kwa Ndege ya MH370: Waziri Mkuu wa Australia Ajichanganya
Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott anazungumza kuhusu zoezi la utafutaji wa ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH370.
23 Aprili 2014
Watu 28 Wafariki, 268 Bado Hawajulikani Walipo Baada ya Feri ya Korea Kusini Kuzama
Feri ya Korea Kusini iliyokuwa ikielekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama ikiwa na mamia ya abiria. Mwongoza mferi hiyo na wafanyakazi wa feri hiyo waliokolewa...
19 Aprili 2014
Chanzo cha Maji nchini China Chawekwa Kemikali Inayosababisha Kansa
Benzene, kemikali inayosababisha kansa kwa haraka kabisa, imegundulika kuwepo kwenye chanzo cha maji cha Jiji la Lanzhou , wakati fulani ilipimwa na kukutwa kwa kiwango...
11 Aprili 2014
3 Aprili 2014
Tetemeko Kubwa Lizitikisa Chile na Peru
Watumiaji wa mtandao wa twita wameripoti kuwa huduma za simu za mkononi hazipatikani na umeme umekatika kwenye maeneo kadhaa ya Peru.
2 Aprili 2014
Tetemeko Kubwa Laitikisa Chile Kaskazini, Lafuatiwa na Tahadhari ya Tsunami
Tetemeko kubwa lenye vipimo vya 8.2 limeikumba Chile kaskazini saa 2:46 na kusababisha tahadhari ya tsunami nchini kote.