Habari kuhusu Majanga kutoka Januari, 2014
PICHA: Kimbunga BEJISA Chasababisha Uharibifu Mkubwa katika Visiwa vya Reunion
Januari 2, Kimbunga Bejisa kilisababisha uharibifu mkubwa katika kisiwa cha Reunion kilicho chini ya mamlaka ya Ufaransa. Mtu mmoja alifariki na wengine 15 kujeruhiwa vibaya, huku idadi ya nyumba zinazokadiriwa...