Habari kuhusu Majanga kutoka Machi, 2014
Ndege ya Malaysia Haijulikani Ilipo Ikiwa na Abiria 239
Ndege MH370 kutoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing ilipoteza mawasiliano na waongoza ndege, na mamlaka za kiserikali zimeshindwa kujua iliko ndege hiyo iliyokuwa na watu 239