Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Septemba, 2013
Shambulizi la Nairobi Lasababisha Kutengenezwa kwa Zana Mbili za Dharura Mtandaoni
Zana tumizi ya "The Ping" itawasaidia wanafamilia kutafutana haraka wakati wa dharura wakati "Blood Donation Kenya" itasaidia kuoanisha vituo vya utoaji damu na watu wanaojitolea damu.
Wafanyakazi wa Kujitolea Raia wa Ki-Hispania Waachiliwa Huru Baada ya Miezi 21 Uhamishoni
Montserrat Serra na Blanca Thiebaut walikuwa wakijenga hospitali katika eneo la Dadaab, Kenya, ndani ya kambi kubwa zaidi duniani, wakati walipotekwa