Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Julai, 2018
Utafiti wa Kwanza wa Kina Kuhusu Unyanyasaji wa Watoto Nchini Madagaska Unaonesha Hali Inatisha
Ripoti inasema asilimia 89 ya watoto wanadai kuathiriwa na unyanyasaji majumbani angalau mara moja wakati asilimia 30 ya vijana kinda wa kike katika Kisiwa cha Madagaska tayari wana mtoto.