Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Septemba, 2020
Makubaliano Ya Amani Ya Kihistoria Nchini Sudani Yafanyika Kukiwa na Mafuriko Ya Kihistoria
Makubaliano ya amani ya Kihistoria ya vikundi vya waasi Sudani yamefanyika kukiwa na mafuriko ya Kihistoria yaliyosababisha majanga. Nini hasa mkakati wa serikali kuyarahisisha maisha?