Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Julai, 2016
‘Watu Wanapanda Boti hizo kwa Kuwa Bado Wanahitaji Kuishi’
Kampeni ya uokozi Sos Méditerranée yachapisha kwenye blogu yao maelezo ya watu walioponea chupuchupu wakielekea Ulaya kupitia bahari ya Mediterranean