Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Oktoba, 2012
Je, Una Swali Lolote kwa Jimmy Carter?
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter anapokea maswali kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na Twita (#CarterQA) kama sehemu ya kuadhimisha miaka 30 ya Kituo cha Carter (Carter Center)...