Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Aprili, 2011
Japani: Tsunami yaathiri eneo la pwani, yaacha kila kitu kimeharibiwa
Kufuatia tetemeko kubwa kuwahi kutokea nchini, Japani imekumbwa na tsumani mbaya zaidi iliyowahi kutokea. Watu wengi nchini kote wameganda kwenye luninga zao wakati vipande vya habari vinavyoonesha tsunami lenye urefu wa zaidi ya mita 7 kwenda juu likisomba magari na majengo.