Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Februari, 2014
Upasuaji wa Kwanza wa Moyo Kongo Brazzaville
Mtandao wa kimataifa wa Afya La Chaîne de l’Espoir (Maana yake Kiungo cha Matumaini) unaripoti kuwa watoto saba wa ki-Kongo waliokuwa na hali mbaya wamenufaika na upasuaji wa moyo [fr]...