· Novemba, 2010

Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Novemba, 2010

Haiti: Kuokoa Maisha

  20 Novemba 2010

“Idadi ya wagonjwa waliotibiwa katika siku 10 zilizopita ni 227″: matumaini ya kweli kwa haiti wanaeleza uzoefu wao wakati wanasaidia kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.

Haiti: Video Inayookoa Maisha

  9 Novemba 2010

Mganga nayeishi jijini Fransisco ambaye pia ni mwanablogu Dkt. Jan Gurley amezuru Haiti mara mbili tangu lilipotokea tememeko la ardhi la Januari 12 ili kuwahudumia watu kwa kujitolea. Ziara yake...