Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Januari, 2019
Namna Utoaji Bure wa Kifungua Kinywa Nchini Yemen Ulivyorudisha Wasichana 500 Shuleni
Kabla ya mradi kuanza, moja ya tano ya wanafunzi walikuwa wahahudhurii. Sasa, wote wamerudi darasani.
Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.
Kabla ya mradi kuanza, moja ya tano ya wanafunzi walikuwa wahahudhurii. Sasa, wote wamerudi darasani.