· Disemba, 2009

Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Disemba, 2009

China: Kujitoa Uhai kwa Msomi Mwingine tena – Kisa cha Yang Yuanyuan

  20 Disemba 2009

YANG Yuanyuan, binti msomi mwenye miaka 30 aliyekuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Shanghai Maritime, alijinyonga kwenye bafu la nyumbani kwake mnamo Novemba 25 mwaka huu. Siku moja kabla hajachukua uamuzi huo alimwambia mama yake kwamba maarifa hayawezi kubadili majaaliwa. Miaka ya hivi karibuni imeshuhudia ongezeko la...