makala mpya zaidi zilizoandikwa na j nambiza tungaraza kutoka Agosti, 2008
Karibeani: Radi ya Bolt Yaipiga Beijing
“Radi ya Bolt” – Picha na hybridvigour. Tembelea mtiririko wa picha zake. Ujumbe huu utakuwa mrefu kama ufupi wa mtoko wa Mjamaika Usain Bolt kuelekea chaki ya ukomo wa mbio...
Angola: Kuelekea Uchaguzi Unaosubiriwa Kwa Muda Mrefu
Ni chini ya chini ya mwezi mmoja kwa Angola kabla ya kuingia zoezi linalosubiriwa zaidi katika aya za historia yake. Miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho,...
Bangladeshi: Ku-twita na kublogu tetemeko la ardhi
Tetemeko la ardhi la wastani lilitikisa jiji la Dhaka siku ya tarehe 27 Julai mnamo muda wa saa 00:51 kwa saa za Bangladeshi (+6 GMT). Russell John anaripoti katika blogu...