makala mpya zaidi zilizoandikwa na j nambiza tungaraza kutoka Julai, 2010
Ghana: Je Una Chumba cha Ziada kwa Ajili ya Rais wa Zamani Rawlings?
Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings hana pa kuishi. Anahitaji nyumba ya kupanga katika mji mkuu wa Ghana Accra. yafuatayo ni maoni ya wanablogu wa Ghana pamoja na wasomaji wao.
Cameroon: Vyombo vya Habari Vyachochea Demokrasia
Célestin Lingo anaonyesha uhusiano kati ya vyombo vya habari na mchakato wa demokrasi nchini Cameroon.
Afrika Kusini: Kandanda Ili Kupinga Ubaguzi
mahojiano mafupi ya video kuhusu mashindano yaliyoandaliwa na timu ya mpira wa miguu ya Refugee VI soccer ynakusudia kuelimisha umma juu ya suala la ubaguzi dhidi ya wageni nchini Afrika...
Nigeria: Nigerian President on Facebook
David Ajao anajadili Ukurasa wa Facebook wa rais wa Naijeria: “Kwa kupitia ukurasa wa Facebook uliofunguliwa tarehe 28 Juni 2010, amekuwa akieleza imani yake katika Naijeria na ndoto yake ya...
China: Nchi Imara, Watu Maskini
Shirika la utangazaji la taifa CCTV liliweka wazi mnamo tarehe 28 Juni kuwa China inatarajia kupata yuani trilioni 8 (sawa na dola trilioni 1.18) katika mapato ya fedha kufikia mwisho...
Ghana: Tangazo la Kibaguzi la Kombe la Dunia
Sokari anaandika kuhusu tangazo la biashara la Kombe la Dunia la kibaguzi lililotengenezwa na wakodishaji wa magari wa Kijerumani SIXT: “Tangazo hilo hapo juu lilitumwa kwangu na rafiki kutoka Ujerumani...
Angola: Hapo Zamani za Kale Katika Roque Santeiro
Maendeleo yanayoukumba mji wa Luanda unaliwajibisha moja ya eneo la biashara linalotembelewa zaidi mjini humo, eneo ambalo hutengeneza maelfu ya dola kwa siku. Soko la Roque Santeiro limo mbioni kufunga "milango" yake na kufunguliwa katika eneo la kisasa na lenye hadhi, huko Sambizanga.