j nambiza tungaraza · Agosti, 2009

makala mpya zaidi zilizoandikwa na j nambiza tungaraza kutoka Agosti, 2009

Mexico: Simulizi za Siri Kwenye Twita

  25 Agosti 2009

Rafa Saavedra ni mtaalamu wa utamaduni wa chini chini kutoka mji wa Tijuana, Maxico. Katika mahojiano, anaelezea kila kitu kinachohusu mradi wake mmoja wa hivi karibuni unaojumuisha Twita na utoboaji wa siri.

Korea: Ziara ya Clinton Korea Kaskazini

  12 Agosti 2009

Habari ya kushangaza. Kwa ghafla, Clinton alizuru Korea ya Kaskazini na kama vile 007 aliwarudisha nyumbani wanahabari wawili wa kike ambao walikuwa wameshikiliwa nchini Korea Kaskazini. Kuhusiana na habari hii...