Habari kuhusu Asia ya Kusini kutoka Aprili, 2017
Mwanablogu na Mwanaharakati wa Maldives Yameen Rasheed Auawa kwa Kuchomwa na Kitu chenye Ncha Kali
"Ile inayoitwa" Paradiso ya duniani haihakikishii raia wake usalama. Kesho inaweza kuwa ni mimi, wewe au yeyote miongoni mwetu," aliandika mtumiaji mmoja wa Facebook.
Wahindi Waomboleza Kifo cha Kishori Amonkar, Mmoja wa Waimbaji Wakubwa Wa Muziki Wa Jadi Nchini India
"Kuna sauti zenye uwezo wa kugusa hisia na Kishori Amonkar ndio sauti hiyo."
Wataalam wa Teknolojia Nchini India Wanapambana Kubaini Ujumbe Bandia Unaoenezwa WhatsApp na Facebook
Watumiaji wengi wa mtandao hawafahamu bado namna ya kutofautisha vyanzo halisi vya ujumbe wanaoupokea na vyanzo bandia au hatarishi
Wakimbizi Nchini Marekani Wadumisha Tamaduni za Kimuziki kwa Nyimbo za Watoto
Msimuliaji wa hadidhi kwenye Kituo cha Makumbusho ya Sanaa cha Erie Art Museumkilicho kwenye jimbo la Pennsylvania, nchini Marekani alikuja na wazo: kuwasaidia wakimbizi kujifunza ujuzi wa kazi wakati akiwasaidia kukumbuka nyimbo zao.