· Disemba, 2009

Habari kuhusu Asia ya Kusini kutoka Disemba, 2009

Mchakato wa Amani Nepal Unayumba

Mchakato nyeti wa kuleta amani nchini Nepal unasitasita katikati ya mapambano yanayozidi kuongezeka kati ya watu wa kundi la ki-Mao na serikali. Kundi la ki_Mao linatishia kuitisha mgomo usio na kikomo kama madai yao hayatatekelezwa.

6 Disemba 2009