Habari kuhusu Asia ya Kusini kutoka Oktoba, 2013
Namna Wanawake Nchini India Wanavyoweza Kujilinda
Ukatili dhidi ya wanawake umezidi kushika kasi nchini India. Mwandishi na mwanablogu Shilpa Garg aweka bayana dondoo za namna ambavyo wanawake wanavyoweza kuchukua tahadhari na kujilinda.
India: Saa Nzuri Kapata Huduma za Afya Hospitalini kwa Punguzo la Bei
Kamayani wa mtandao wa Kracktivist anasema kuwa dhana ya saa nzuri kupata punguzp la bei, ambayo ni maarufu sana kwenye vilabu vya pombe, mahotelini na hata kwenye majengo ya sinema,...
Nani ni Muislamu Halisi? -Hatari ya Madhehebu Madogo ya Waislamu Pakistan
Raza Habib Raja wa Pak Tea House ana maoni haya: ‘Kosa’ kubwa nchini Pakistani ni kuwa kile ninachokiita, Muislamu asiye Muislamu. Kwa hiyo hata ukiwa Ahmedi, Shiite, na hata muumini...
Kuwasaidia Waathirika wa Tetemeko la Balochistan
Zaidi ya watu 300,000 wameathirika kufuatia tetemeko la hivi karibuni katika wilaya sita za Jimbo la Balochistan nchini Pakistan. Kashif Aziz wa mtandao wa Chowrangi anatoa habari za namna ya...