Habari kuhusu Asia ya Kusini kutoka Mei, 2011
Nepal: Mwanzo wa Mapinduzi ya Facebook?
Pradeep Kumar Singh anaweka picha na habari za kampeni ya hivi karibu ni ya Facebook iliyopewa jina la “Jitokeze. Simama. Ongea. Vinginevyo, kaa kimya. Takriban vijana 400 wa Nepali walijitokeza...
Pakistani: ISI Walikuwa Wanafahamu Nini Kuhusu Laden?
Faheem Haider katika blogu ya Sera ya Nchi za Nje ya Pakistani anahoji kile ambacho Jeshi na Usalama wa Taifa (shirika la kijasusi) la Pakistani vilikuwa vinafahamu kuhusu gaidi mkuu...