Habari kuhusu Asia ya Kusini kutoka Juni, 2016
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Ndugu, Timiza wajibu Wako
Wiki hii tunakupeleka Urusi, India, Madagascar, Venezuela na Singapore.
Ubaguzi wa India kwa Waafrika Waibuka Tena Baada ya m-Kongo Kuuawa kwa Kupigwa
Sema, "India inakupenda," kwa wa-Islamu, wa-Daliti, wa-afrika, wasio na dini...na kisha rudi ukawapige makofi?