Habari kuhusu Asia ya Kusini kutoka Oktoba, 2016
Upungufu wa Maeneo ya Wazi Wawalazimisha Watoto wa Mumbai Kucheza Katika Maeneo Machafu
“Hatuwaambii wazazi wetu kuwa tunacheza hapa. Wanafikiri tunaenda kwenye viwanja vizuri kucheza. Kama wakijua...hawataturuhusu kutoka tukacheze."
Sri Lanka Yaingia Hasara Kufidia Gharama za Matumizi Mabaya ya Serikali
Kiasi kikubwa cha fedha kilichotumika kuvunja mkataba wa manunuzi ya ndege mpya za Airbus kingetumika kwa mambo mengine mengi.