Habari kuhusu Syria kutoka Juni, 2017
Kubaki au Kuondoka Hakutoi Mustakabali wa Wakazi wa Al-Waer Nchini Syria
Waasi pamoja na familia zao wanaihamisha ngome yao kutoka kwenye jiji hili lililobatizwa jina la "Kitovu cha Mapinduzi". Hizi hapa ni baadhi ya simulizi zao.