Habari kuhusu Syria kutoka Aprili, 2014
Mzazi wa Kisyria Auomba Ubalozi wa Uingereza Kumwunganisha na Mwanae
Wael Zain, raia wa Syria anayeishi Londona, ametumia mtandao wa Twita kutafuta kusikilizwa madai yake kuwa mwanae wa kiume mwenye uraia wa Uingereza ametelekezwa Syria kwa miaka mitatu sasa.