Habari kuhusu Syria kutoka Aprili, 2015
Swali: Wapiganaji Wangapi wa Jihadi Wana Historia ya Jeshi?
Kwa kutumia dondoo kutoka kwenye ripoti ya Der Spiegel kuhusu watu walionyuma ya muundo wa ISIS, mwanablogu wa Palestina Iyad El-Baghdadi anatwiti: After that Spiegel story about the "mastermind" behind...