Habari kuhusu Lebanon kutoka Juni, 2018
Kufuatia Shinikizo la Vyombo vya Ulinzi, Fahari ya Beirut kwa Mwaka 2018 “Yaahirishwa kwa Muda”
"Kwa muda mrefu Lebanon imekuwa ikifahamika kwa kuheshimu tofauti miongoni mwa raia wake na imekuwa ikidai kuwa nchi ya raia wake WOTE, pamoja na tofauti zao."