Habari kuhusu Lebanon kutoka Julai, 2018
Mwandishi wa Habari Mlebanoni Pamoja na Kutokuwepo Ahukumiwa Kifungo, ‘Kwa kumkashifu’ Waziri wa Mambo ya Kigeni kupitia Facebook
Akiishi kama mkimbizi nchini Uingereza, Fidaa Itani anasema hukumu hiyo inatamatisha enzi za uhuru wa kutoa maoni nchini Lebanon.