Habari kuhusu Lebanon kutoka Machi, 2014
Walebanoni Wazindua Kampeni ya Kuwatetea Wasyria Dhidi ya Ubaguzi wa Rangi
Watu wa Lebanon wameshikamana kutoa mwito wa kumaliza ubaguzi wa rangi dhidi ya wakimbizi wa Wasyria wanaoishi nchini humo, anaandika Joey Ayoub. "Nyumbani kwetu, ni kwenu," wanasema.