Habari kuhusu Lebanon kutoka Mei, 2010
Levant: Wanablogu wa Mashariki ya Kati Wanajipasha Moto kwa Ajili ya Kombe la Dunia 2010
Kombe la Dunia litaanza katika kama wiki tatu hivi na wanablogu katika mashariki ya kati tayari wameshaanza kutumia vibodi na kamera zao kujaribu kunasa shauku inayoizingira dunia mara moja kila miaka minne. Anas Qtiesh anatuletea maoni ya wanablogu wa Syria na Lebanoni katika makala hii.