Habari kuhusu Majanga
Mbali na Kusikia Habari za Boko Haram Nchini Niger, Fahamu Jangwa la Ténéré
Niger ipo katika vita na Boko Haram. Tusilisahau hili, hata hivyo, Niger ni mahali palipo na miradi mingi na pia ni eneo lililosheheni utajiri mwingi...
Watu 36 Wauawa, Mtandao wa Intaneti Wafungwa Kongo DRC Kufuatia Maandamano ya Kumpinga Rais Kabila
Ghasia na mapigano kati ya Polisi na waandamanaji wanaopinga hatua ya Kabila kurekebisha sheria ya uchaguzi vimesababisha kuuawa kwa watu 36 nchini Kongo DRC katika...
Video ya Kuonesha namna Mlima Ontake Ulivyolipuka
Mtu mmoja amethibitika kufa, wakati wengine wapatao hamsini wakiwa wamejeruhiwa vibaya, na wengine kumi hawajulikani walipo baada ya Mlima Ontake, ulio maarufu kwa ukweaji mlima,...
Huduma za Afya nchini Madagaska Zinaweza Kukabiliana na Mlipuko wa Ebola?
Nchi kumi na tano za Afrika ikiwemo Madagaska ziko kwenye hatari zaidi ya maambukizi ya Ebola kwa sababu zina mazingira yanayofanana na yale ya nchi...