Makala haya yanatoka GV Utetezi, mradi wa Global Voices wenye tovuti yake maalum kwa ajili ya kupambana na udhibiti wa mtandao na kutetea uhuru wa kujieleza.

RSS

Habari kuhusu GV Utetezi kutoka Agosti, 2021

Nanjala Nyabola ajiunga na Global Voices kuwa Mkurugenzi wa Advox

Kama mkurugenzi wa mradi wa utetezi (Advox), Nanjala ataongoza uhariri wa uandishi wa habari za Global Voices, utafiti, uanaharakati na utetezi wa uhuru wa kujieleza...

Jinsi Mauaji ya mwanamuziki Hachalu Hundessa yalivyochochea uvunjifu wa amani nchini Ethiopia: Sehemu Ya ll

Saa moja baada ya mauaji ya Hachalu Hundessa, wananchi wa mitandaoni waonesha picha, nadharia, lugha za chuki na kampeni zaa uongo — Facebook, Twitter na...

Kundi La Wadukuaji Wasiojulikana Laweka Wazi Takwimu za Siri za Serikali Kuhusu Maambukizi ya COVID-19 Nchini Nicaragua

Udukuaji huo ulionesha ongezeko la visa 6,245 vya maambukizi ya COVID-19 ndani ya Nicaragua ambapo awali havikuripotiwa kwa umma.