Makala haya yanatoka GV Utetezi, mradi wa Global Voices wenye tovuti yake maalum kwa ajili ya kupambana na udhibiti wa mtandao na kutetea uhuru wa kujieleza.

RSS

Habari kuhusu GV Utetezi kutoka Septemba, 2015

Ni Zaidi ya Wanablogu wa Zone9: Wa-Ethiopia Wengine Watumiao Intaneti Wakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

Sambamba na kesi maarufu sasa ya wablogu wa Zone9, kuna wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na wanasiasa wengine wengi wa ki-Ethiopia waliowekwa ndani ingawa majina yao bado hayajatajwa. Mwaka uliopita mnamo Julai 8, 2014, Serikali ya Ethiopia iliwakamata viongozi kadhaa wa upinzani, wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na raia kadhaa wanaoguswa na mwenendo...