Habari kuhusu GV Utetezi kutoka Oktoba, 2014
Wanablogu wa Brazili Wadai Mgombea Urais Anawadhibiti Wakosoaji wake Kwenye Mtandao wa YouTube
Watumiaji wenye majina na historia inayofanana wamedai haki miliki dhidi ya video mbili za You Tube zinazomkosoa Mgombe Urais wa Brazili Aécio Neves.