Habari kuhusu GV Utetezi kutoka Julai, 2014
Dunia Yatwiti Kuwatetea Wanablogu wa ki-Ethiopia Waliokamatwa Julai 31
Unagana na wanablogu wa Global Voices katika zoezi la kutwiti litakalofanyika duniani kote kwa lugha tofauti kuwatetea wanablogu na wanaandishi wa habari wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi nchini Ethiopia.