Habari kuhusu GV Utetezi kutoka Julai, 2012
Tamko la Uhuru wa Mtandao wa Intaneti
Hivi karibuni, makundi kadhaa yameungana pamoja kutengeneza Tamko la Uhuru wa Mtandaoni. Mpaka sasa, Tamko hilo limesainiwa na mashirika na kampuni zipatazo 1300 na bado zoezi linaendelea kukua.