Habari kuhusu GV Utetezi kutoka Julai, 2017
Mamlaka za Uturuki Zawatia Kizuizini Wapigania Haki za Binadamu Maarufu Wakiwa Kwenye Warsha ya Uwezeshaji
"Watu [hawa] waliojitolea maisha yao kwa ajili ya kupigania haki za binadamu. Siku yaja watakaposimama kidete kutetea haki za wake wanaohusika kuwakamata."
Hatua ya Seneta wa Ufilipino Kufanya ‘Habari Potofu’ Ziwe Jinai — Hii Haitamaanisha Kudhibitiwa kwa Habari?
"Unatofautishaje kati ya taarifa ya uongo iliyotokana na kosa la kibinadamu na ile inayosambazwa kwa nia mbaya kupitia magazeti, matangazo au mtandaoni?"