Habari kuhusu GV Utetezi kutoka Mei, 2018
Taarifa ya Raia Mtandaoni: Hukumu ya Mahakama Kuu ya Gambia yaacha Mashaka juu ya Uhuru wa Kutoa Maoni
Taarifa ya Advox Kuhusu Raia wa Mtandaoni inakupa mhutasari wa habari za kimataifa kuhusu changamoto, mafanikio na yanayoendelea kuhusu haki za mtandaoni duniani kote
Brazil Yatambulisha Kanuni Ngumu Dhidi ya ‘Habari Zisizo za Kweli’ Kuelekea Uchaguzi wa 2018
Kamati yenye wajumbe wanaotoka jeshini, polisi na idara ya Usalama ya Brazili itakuwa na kazi ya kufuatilia na ikibidi kutoa amri ya kufungiwa kwa habari za uongo kwenye mitandao ya kijamii.
Maandamano ya Nicaragua Yachochea Kufungwa kwa Vyombo vya Habari, Shambulizi la DDos na Mauaji ya Mwandishi wa Habari Angel Gahona
Ripoti ya Utetezi wa Raia wa mtandaoni inakuletea mkusanyiko wa changamoto, mafanikio na mwenendo wa matukio yanayojitokeza kuhusiana na haki za matumizi ya mtandao wa intaneti ulimwenguni kote.