Habari kuhusu Vijana kutoka Aprili, 2014
Ni “Udhaifu” wa Serikali, Yasema Ripoti ya Ajali ya Kivuko cha Korea Kusini
Zimetimu siku 14 tangu kivuko cha Sewol kizame na watu 205 wamethibitika kupoteza maisha. Wanasiasa wanatumia tukio hilo na habari zisizosahihi za vyombo vya habari kuchochea hasira miongoni mwa Wakorea Kusini.
Bob Marley – Ni Mungu Mpya wa Vijana wa Bhutan?
Bob Marley ghafla amegeuka mungu miongoni mwa kizazi kilichochanganyikiwa. bendera ya Rastafari, ikiwa na ama Bob mwenyewe au jani la bangi, inapatikana kokote. Kwa mtu aliyekufa mwaka 1981 na kuendelea...
Watu 28 Wafariki, 268 Bado Hawajulikani Walipo Baada ya Feri ya Korea Kusini Kuzama
Feri ya Korea Kusini iliyokuwa ikielekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama ikiwa na mamia ya abiria. Mwongoza mferi hiyo na wafanyakazi wa feri hiyo waliokolewa kwanza, kabla ya abiria wengi kupata msaada
Unapenda wimbo gani wa kulalia?
Nyimbo la kulalia si tu zinawafaa watoto, lakini pia zinaweza kuwafaa watu wazima. Tuma wimbo wako wa kulalia kwa PRI